+ All Categories
Home > Documents > Mazungumzo ya leo - NHK...Takusan shashin o to⎤tte iru no ne. Unapiga picha nyingi. ミーヤー...

Mazungumzo ya leo - NHK...Takusan shashin o to⎤tte iru no ne. Unapiga picha nyingi. ミーヤー...

Date post: 01-Feb-2021
Category:
Upload: others
View: 8 times
Download: 0 times
Share this document with a friend
15
©NHK WORLD-JAPAN 51 https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/ S o m o l a 16 な温 です ミーヤー Mi Ya わあ、猿 さる がいっぱい! Waa, sa ru ga ippai! Wow, nyani wengi sana! つま Mke たくさん写 しゃ しん を撮 っているのね。 Takusan shashin o to tte iru no ne. Unapiga picha nyingi. ミーヤー Mi Ya はい。ここは海 かい がい でも Ha i. Koko wa ka igai de mo ゆう めい な温 おん せん です。 yuumeena onsen de su. Ndiyo. Hii ni chemchemi maarufu ya majimoto duniani. おっと Mume へえ、そうなんだ。 Hee, so o nan da. Oh, kumbe? さる が温 おん せん に入 はい るのは Sa ru ga onsen ni ha iru no wa めずら しいからね。 mezurashi i kara ne. Ni nadra kuona nyani wakioga kwenye chemchemi ya majimoto. ミーヤー Mi Ya あ、猿 さる の赤 あか ちゃん。かわいい。 A, sa ru no a kachan. Kawai i. Oh, mtoto wa nyani. Mzuri. Msamiati わあ wow waa いっぱい wengi ippai しゃ しん を撮 る piga picha shashin o to ru かい がい nchi za nje ka igai ゆう めい (な) maarufu yuumee (na) そうなんだ kumbe so o na n da おん せん に入 はい oga kwenye chemchemi ya majimoto onsen ni ha iru めずら しい nadra mezurashi i あか ちゃん mtoto (mchanga) a kachan Mazungumzo ya leo Yuumeena onsen desu Hii ni chemchemi maarufu ya majimoto.
Transcript
  • ©NHK WORLD-JAPAN 51https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Somo la

    16 有ゆ う

    名め い

    な温お ん

    泉せ ん

    です

    ミーヤーMi Ya

    : わあ、猿さる

    がいっぱい!Waa, sa⎤ru ga ippai!

    Wow, nyani wengi sana!

    妻つま

    Mke: たくさん写

    しゃ

    真しん

    を撮と

    っているのね。Takusan shashin o to⎤tte iru no ne.

    Unapiga picha nyingi.

    ミーヤーMi Ya

    : はい。ここは海かい

    外がい

    でもHa⎤i. Koko wa ka⎤igai de mo

    有ゆう

    名めい

    な温おん

    泉せん

    です。yuumeena onsen de⎤su.

    Ndiyo. Hii ni chemchemi maarufu ya majimoto duniani.

    夫おっと

    Mume: へえ、そうなんだ。

    Hee, so⎤o nan da.Oh, kumbe?

    猿さる

    が温おん

    泉せん

    に入はい

    るのはSa⎤ru ga onsen ni ha⎤iru no wa

    珍めずら

    しいからね。mezurashi⎤i kara ne.

    Ni nadra kuona nyani wakioga kwenye chemchemi ya majimoto.

    ミーヤーMi Ya

    : あ、猿さる

    の赤あか

    ちゃん。かわいい。A, sa⎤ru no a⎤kachan. Kawai⎤i.

    Oh, mtoto wa nyani. Mzuri.

    Msamiati

    わあ wowwaa

    いっぱい wengiippai

    写しゃ

    真しん

    を撮と

    る piga pichashashin o to⎤ru

    海か い

    外が い

     nchi za njeka⎤igai

    有ゆ う

    名め い

    (な) maarufuyuumee (na)

    そうなんだ kumbeso⎤o na⎤n da

    温おん

    泉せん

    に入はい

    る oga kwenye chemchemi ya majimotoonsen ni ha⎤iru

    珍めずら

    しい nadramezurashi⎤i

    赤あ か

    ちゃん mtoto (mchanga)a⎤kachan

    Mazungumzo ya leo

    Yuumeena onsen desuHii ni chemchemi maarufu ya majimoto.

  • ©NHK WORLD-JAPAN52 Tembelea NHK WORLD-JAPAN

    Usemi wa Msingi

    有ゆ う

    名め い

    な温お ん

    泉せ ん

    です。Yuumeena onsen de⎤su.

    Hii ni chemchemi maarufu ya majimoto.Vivumishi vya NA ni vivumishi vinavyoishia na “na” wakati vikiivumisha nomino. Sentensi inaweza kutungwa kwa kuwekwa kivumishi cha umbo la NA mwishoni. Badilisha “na” kwa “desu.” (“Yuumee desu” yaani “Ni maarufu.”)

    Tumia!

    元げん

    気き

    な猿さる

    ですね。Ge⎤nkina sa⎤ru de⎤su ne.

    本ほん

    当とう

    ! 元げん

    気き

    ですね。Hontoo! Ge⎤nki de⎤su ne.

    Nyani mchangamfu alioje, sivyo? Hakika! Ni mchangamfu.

    Jaribu!

    【kivumishi cha NA】~ですね。【kivumishi cha NA】 ~ de⎤su ne.

    Ni ~ [kivumishi cha NA], sivyo?

    ① 静し ず

    か(な)shi⎤zuka (na)

    tulivu

    場ば

    所し ょ

    bashosehemu

    ② きれい(な)ki⎤ree (na)

    mazuri

    景け

    色し き

    ke⎤shikimandhari

    Usemi wa ziadaへえ。Hee.Oh.

    Usemi huo unatumika kuonesha hisia ya kuvutiwa/kushangazwa na kile alichokisema mtu.

    Can-do! Kuelezea kuvutiwa kwako na kuelezea vitu -- Sehemu 2

  • ©NHK WORLD-JAPAN 53https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Mwongozo wa safari wa Mi Ya

    Chemchemi za majimoto nchini Japani

    Japani ina chemchemi za majimoto kote nchini kwa sababu ina milima mingi ya volkano. Rangi, harufu na ulaini wa maji hutofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine. Chemchemi za majimoto ni tiba, kwa mfano zinaweza kukusaidia kuondoa uchovu. Watu wengi hukaa kwenye hoteli zenye chemchemi ya majimoto na familia au marafiki ili kupata kupumzika kwa kukaa kwenye maji hayo kwa muda mrefu na kufurahia chakula.

    Majibu ① 静しず

    かな場ば

    所しょ

    ですね。 Shi⎤zukana basho de⎤su ne.② きれいな景

    色しき

    ですね。 Ki⎤reena ke⎤shiki de⎤su ne.

    Beppu Onsen (Mkoani Oita)

    Kusatsu Onsen (Mkoani Gunma)

    Nyuto Onsenkyo (Mkoani Akita)

    ©Nyuto Onsen Association

    ©Kusatsu Onsen Tourist Association

  • ©NHK WORLD-JAPAN54 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Somo la

    17 日に

    本ほ ん

    を旅り ょ

    行こ う

    しています

    妻つま

    Mke: おそば3つ、お願

    ねが

    いします。Oso⎤ba mittsu, onegai-shima⎤su.

    Tambi za soba kwa watu watatu, tafadhali.

    店てん

    員いん

    Mhudumu: はーい。

    Haai.Sawa.

    妻つま

    Mke: 日

    本ほん

    へは、観かん

    光こう

    ですか。Niho⎤n e wa, kankoo de⎤su ka.

    Upo nchini Japani kwa ajili ya utalii?

    ミーヤーMi Ya

    : ええと、私わたし

    は写しゃ

    真しん

    家か

    で、Eeto, watashi wa shashinka de,

    日に

    本ほん

    のことを海かい

    外がい

    に紹しょう

    介かい

    しています。Nihon no koto⎤ o ka⎤igai ni shookai-shite ima⎤su.

    Um, mimi ni mpigapicha, na nimekuwa nikiitambulisha nchi hii kwa watu wa nchi zingine.

    それで、日に

    本ほん

    を旅りょ

    行こう

    しています。Sore de, Niho⎤n o ryokoo-shite ima⎤su.

    Ndiyo sababu nimekuwa nikisafiri sehemu mbalimbali Japani.

    夫おっと

    Mume: それはすばらしいね。

    Sore wa subarashi⎤i ne.Hivyo ni vizuri!

    店てん

    員いん

    Mhudumu: お待

    たせしました。Omatase-shima⎤shita.

    Poleni kwa kuwasubirisha.

    Msamiati

    そば/おそば tambi za sobaso⎤ba / oso⎤ba

    観か ん

    光こ う

     utaliikankoo

    ええと umeeto

    こと kitu/jambokoto⎤

    紹しょう

    介か い

    する kutambulishashookai-suru

    それで ndiyo sababusore de

    旅り ょ

    行こ う

    する safiriryokoo-suru

    すばらしい vizurisubarashi⎤i

    お待ま

    たせしました pole kwa kukusubirishaomatase-shima⎤shita

    Mazungumzo ya leo

    Nihon o ryokoo-shite imasuNimekuwa nikisafiri sehemu mbalimbali Japani.

  • ©NHK WORLD-JAPAN 55https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Usemi wa Msingi

    日に

    本ほ ん

    を旅り ょ

    行こ う

    しています。Niho⎤n o ryokoo-shite ima⎤su.

    Nimekuwa nikisafiri sehemu mbalimbali Japani.Ili kuelezea kitu unachokifanya kwa sasa, unatumia “[kitenzi cha umbo la TE] + imasu.” “Ryokoo-shite imasu” ni umbo la TE la “ryokoo-suru” yaani “kusafiri” ambayo ni “ryokoo-shite” ikifuatiwa na “imasu.” (Tazama ukurasa 150-151)

    Tumia!

    旅りょ

    行こう

    ですか。Ryokoo de⎤su ka.

    はい。あちこち旅りょ

    行こう

    しています。Ha⎤i. Achi⎤kochi ryokoo-shite ima⎤su.

    Upo safarini?Ndiyo. Nimekuwa nikisafiri huku na kule.

    Jaribu!

    ~ています。~te ima⎤su.

    Nina- ~.

    ① 日に

    本ほ ん

    語ご

    を勉べ ん

    強きょう

    する(→勉べ ん

    強きょう

    して)Nihongo o benkyoo-suru (→benkyoo-shite)

    jifunza Kijapani

    ② 仕し

    事ご と

    をする(→して)Shigoto o suru (→shite)

    fanya kazi jifunza Kijapani fanya kazi

    Ongeza maarifa

    Jinsi ya kutaja idadi ya vitu unavyoagiza1 2 3 4 5

    hito⎤tsu futatsu⎤ mittsu⎤ yottsu⎤ itsu⎤tsu

    Can-do! Kuelezea unachokifanya kwa sasa

  • ©NHK WORLD-JAPAN56 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!

    Soba ni chakula cha kitamaduni cha tambi nchini Japani. Zinatengenezwa kwa unga wa soba, kuchemshwa kwenye maji ya moto. Unaweza kuchovya kwenye mchuzi wa sosi ya soya au kula kwenye bakuli la moto la supu ya ladha isiyo kali.

    Katika migahawa ya tambi za soba iliyo ndani ya vituo vya treni, abiria wanaweza kupata chakula cha haraka cha tambi za soba kabla ya kupanda treni.

    Mori soba (tambi za soba za baridi na mchuzi)

    Kibanda cha tambi za soba

    ©Gomasoba YAGUMO

    Kake soba (tambi za soba kwenye bakuli la supu ya moto)

    Majibu ① 日に

    本ほん

    語ご

    を勉べん

    強きょう

    しています。 Nihongo o benkyoo-shite ima⎤su.② 仕

    事ごと

    をしています。 Shigoto o shite ima⎤su.

    Tambi za soba za Kijapani

  • ©NHK WORLD-JAPAN 57https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Somo la

    18 すごく楽た の

    しかったです

    はるHaru

    : おかえりなさい。Okaerinasai.

    Karibu nyumbani.

    長なが

    野の

    はどうでしたか。Na⎤gano wa do⎤o de⎤shita ka.

    Nagano kulikuwaje?

    ミーヤーMi Ya

    : すごく楽たの

    しかったです。Sugo⎤ku tanoshi⎤katta de⎤su.

    Kulifurahisha kweli.

    写しゃ

    真しん

    をたくさん撮と

    りました。Shashin o takusan torima⎤shita.

    Nimepiga picha nyingi.

    それから、おそばも食た

    べました。Sorekara, oso⎤ba mo tabema⎤shita.

    Na nimekula tambi za soba.

    とてもおいしかったです。Totemo oishi⎤katta de⎤su.

    Zilikuwa tamu sana.

    はるHaru

    : そうですか。よかったですね。So⎤o de⎤su ka. Yo⎤katta de⎤su ne.

    Oh, kweli? Basi vizuri.

    ミーヤーMi Ya

    : 長なが

    野の

    の人ひと

    はとても親しん

    切せつ

    でした。Na⎤gano no hito⎤ wa totemo shi⎤nsetsu de⎤shita.

    Watu wa Nagano walikuwa wakarimu sana.

    タムTam

    : 楽たの

    しい旅りょ

    行こう

    でしたね。Tanoshi⎤i ryokoo de⎤shita ne.

    Inaonekana ulikuwa na safari ya kufurahisha.

    Msamiati

    どう kwa jinsi gani/vipido⎤o

    すごく kweli/sanasugo⎤ku

    楽た の

    しい -a kufurahishatanoshi⎤i

    それから kishasorekara

    人ひ と

     mtu/watuhito ( ⎤ )

    親しん

    切せつ

    (な) -enye ukarimushi⎤nsetsu (na)

    Mazungumzo ya leo

    Sugoku tanoshikatta desuKulifurahisha kweli.

  • ©NHK WORLD-JAPAN58 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Usemi wa Msingi

    すごく楽た の

    しかったです。Sugo⎤ku tanoshi⎤katta de⎤su.

    Kulifurahisha kweli.Ili kutengeneza sentensi ya wakati uliopita yenye kivumishi cha I, badilisha “i (desu)” ya mwisho kwa kuweka “katta (desu).” Kwa sentensi yenye kivumishi cha NA na nomino, badilisha mwishoni mwa sentensi kutoka “desu” kuwa “deshita.”

    Tumia!

    大おお

    阪さか

    はどうでしたか。Oosaka wa do⎤o de⎤shita ka.

    よかったです。とてもにぎやかでした。Yo⎤katta de⎤su. Totemo nigi⎤yaka de⎤shita.

    Osaka kulikuwaje?Vizuri. Kulichangamka sana.

    Jaribu!

    【kivumishi cha I】かったです/【kivumishi cha NA】でした。【kivumishi cha I】 ⎤katta de⎤su/【kivumishi cha NA】 de⎤shita.

    Ilikuwa [kivumishi cha I]/[kivumishi cha NA].

    ① すばらしいsubarashi⎤i

    safi

    ② きれい(な)ki⎤ree (na)

    nzuriree (na)ree (na)ree (na)

    nzuri

    Usemi wa ziadaおかえりなさい。Okaerinasai.Karibu nyumbani.

    Ni salamu kwa mtu aliyerejea nyumbani. Namna ya kirafiki ya salamu hiyo ni “Okaeri” na namna ya kiungwana ni “Okaerinasaimase.”

    Can-do! Kuelezea mvuto wa ulichokifanya

  • ©NHK WORLD-JAPAN 59https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Kwa kutumia treni ziendazo kasi za Shinkansen, unaweza kusafiri kuelekea kwenye majiji mengi makubwa kwa muda mfupi tu. Kutoka Tokyo hadi Nagano, inachukua karibu saa moja na nusu, wakati kutoka Tokyo hadi Kyoto, ni takriban saa mbili. Mabehewa hayana kelele na ni safi, kitu kinachofanya safari iwe ya starehe.

    Ramani ya njia za Shinkansen (kufikia Sept. 2019)

    Majibu ① すばらしかったです。 Subarashi⎤katta de⎤su.② きれいでした。 Ki⎤ree de⎤shita.

    Photo Courtesy of JR CENTRAL

    Shinkansen na Mlima Fuji

    ©JR-CENTRAL PASSENGERS

    Vitu vinavyouzwa kwenye treni

    Mwongozo wa safari wa Mi Ya

    Treni ziendazo kasi za Shinkansen nchini Japani

  • ©NHK WORLD-JAPAN60 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Somo la

    19 手て

    袋ぶくろ

    が欲ほ

    しいんですが

    タムTam

    : あのう、すみません。Anoo, sumimase⎤n.

    Ah, samahani.

    手て

    袋ぶくろ

    が欲ほ

    しいんですが。Tebu⎤kuro ga hoshi⎤in de⎤su ga.

    Nahitaji jozi ya glavu.

    店てん

    員いん

    Mhudumu: 手

    袋ぶくろ

    はこちらです。Tebu⎤kuro wa kochira de⎤su.

    Glavu zipo hapa.

    ミーヤーMi Ya

    : これ、あったかそう。Kore, attakaso⎤o.

    Hizi zinaonekana zenye kuleta joto.

    タムTam

    : いいですね。I⎤i de⎤su ne.

    Ni nzuri.

    これ、いくらですか。Kore, i⎤kura de⎤su ka.

    Hizi ni bei gani?

    店てん

    員いん

    Mhudumu: 1,900円

    えん

    です。Sen-kyuuhyaku⎤-en de⎤su.

    Yeni 1,900.

    タムTam

    : カードは使つか

    えますか。Ka⎤ado wa tsukaema⎤su ka.

    Naweza kutumia kadi ya mkopo?

    店てん

    員いん

    Mhudumu: はい、使

    つか

    えます。Ha⎤i, tsukaema⎤su.

    Ndiyo unaweza.

    Msamiati

    手て

    袋ぶくろ

     glavutebu⎤kuro

    欲ほ

    しい hitajihoshi⎤i

    こちら hapakochira

    あったかい jotoattaka⎤i

    カード kadi ya mkopoka⎤ado

    使つ か

    う tumiatsukau

    Mazungumzo ya leo

    Tebukuro ga hoshiin desu gaNahitaji jozi ya glavu.

  • ©NHK WORLD-JAPAN 61https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Usemi wa Msingi

    手て

    袋ぶくろ

    が欲ほ

    しいんですが。Tebu⎤kuro ga hoshi⎤in de⎤su ga.

    Nahitaji jozi ya glavu.Ili kumwambia mhudumu unachotaka kununua, sema “[bidhaa] ga hoshiin desu ga.” Kwa kuweka “n desu ga” baada ya “hoshii” yaani “-taka/hitaji,” unaweza kuelezea hali yako kwa mtu unayezungumza naye na kumfanya mtu huyo ajibu. Dhoofisha toni yako ukiwa unapunguza kiimbo chako mwishoni mwa sentensi.

    Tumia!

    あのう、すみません。北ほっ

    海かい

    道どう

    のお土み や げ

    産が欲ほ

    しいんですが。Anoo, sumimase⎤n. Hokka⎤idoo no omiyage ga hoshi⎤in de⎤su ga.

    そうですね。このお菓か

    子し

    はいかがですか。So⎤o de⎤su ne. Kono oka⎤shi wa ika⎤ga de⎤su ka.

    Ah, samahani. Nahitaji zawadi za Hokkaido.Sawa. Vipi kuhusu vitamutamu hivi?

    Jaribu!

    あのう、すみません。~が欲ほ

    しいんですが。Anoo, sumimase⎤n. ~ga hoshi⎤in de⎤su ga.

    Ah, samahani. Nahitaji ~.

    ① 風ふ

    呂ろ

    敷し き

    furoshiki kitambaa cha kufungashia

    kifurushi cha kitamaduni

    ② 傘か さ

    ka⎤sa mwavuli

    Usemi wa ziadaカードは使

    つ か

    えますか。Ka⎤ado wa tsukaema⎤su ka.Naweza kutumia kadi ya mkopo?

    Tumia usemi huo unapotaka kujua ikiwa unaweza kutumia kadi ya mkopo wakati wa kulipa. “Tsukaeru” yaani “weza kutumia” ni umbo la uwezekano la neno “tsukau” yaani “kutumia.”

    Can-do! Kusema unachotaka kununua

  • ©NHK WORLD-JAPAN62 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Ushauri wa Haru-san

    Majibu ① あのう、すみません。風ふ

    呂ろ

    敷しき

    が欲ほ

    しいんですが。 Anoo, sumimase⎤n. Furoshiki ga hoshi⎤in de⎤su ga.② あのう、すみません。傘

    かさ

    が欲ほ

    しいんですが。 Anoo, sumimase⎤n. Ka⎤sa ga hoshi⎤in de⎤su ga.

    Idadi ya maduka yanayokubali kadi za mkopo au namna zingine za malipo mbali na kulipa pesa taslimu inaongezeka nchini Japani.

    Lakini baadhi ya maduka hukubali tu pesa taslimu. Ni vizuri kuandaa kiasi fulani cha pesa taslimu unaposafiri nchini Japani.

    Baadhi ya ofisi za posta na maduka ya saa 24 yana mashine za ATM zinazowezesha kutoa pesa taslimu kwa kutumia kadi ya mkopo.

    ©Don Quijote

    Kadi za Mkopo nchini Japani

  • ©NHK WORLD-JAPAN 63https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Somo la

    20 わさびは入い

    れないでください

    ミーヤーMi Ya

    : おすすめは何なん

    ですか。Osusume wa na⎤n de⎤su ka.

    Nini pendekezo lako?

    店てん

    員いん

    Mhudumu: このスペシャル海

    かい

    鮮せん

    丼どん

    がKono supesharu-kaisen-don ga

    おすすめだよ!osusume da yo!

    Napendekeza bakuli hili maalum la chakula cha baharini.

    イクラとウニがたっぷり入はい

    ってるよ。Ikura to u⎤ni ga tappu⎤ri ha⎤itteru yo.

    Limejaa mayai ya samaki samoni na mashanuo ya baharini.

    ミーヤーMi Ya

    : じゃあ、それください。Ja⎤a, sore kudasa⎤i.

    Basi nitachukua hicho.

    タムTam

    : 私わたし

    も。Watashi mo.

    Mimi pia.

    あ、わさびは入い

    れないでください。A, wa⎤sabi wa irena⎤ide kudasa⎤i.

    Oh... Tafadhali usiweke kiungo cha wasabi.

    店てん

    員いん

    Mhudumu: わさび抜

    きね。そちらは?Wa⎤sabi nu⎤ki ne. Sochira wa?

    Sawa, bila wasabi. Vipi na wewe?

    ミーヤーMi Ya

    : 私わたし

    はわさびをたくさん入い

    れてください。Watashi wa wa⎤sabi o takusan irete kudasa⎤i.

    Nahitaji kiungo cha wasabi tele kwenye chakula changu, tafadhali.

    Msamiati

    海かい

    鮮せん

    丼どん

      bakuli la chakula cha baharinikaisen-don

    たっぷり jaatappu⎤ri

    入は い

    る linaha⎤iru

    わさび kiungo cha wasabiwa⎤sabi

    入い

    れる kuweka ndaniireru

    ~抜ぬ

    き bila~nu⎤ki

    Mazungumzo ya leo

    Wasabi wa irenaide kudasaiTafadhali usiweke kiungo cha wasabi.

  • ©NHK WORLD-JAPAN64 For more, visit NHK WORLD-JAPAN

    Usemi wa Msingi

    わさびは入い

    れないでください。Wa⎤sabi wa irena⎤ide kudasa⎤i.

    Tafadhali usiweke kiungo cha wasabi.Ili kumwomba mtu asiweke kitu fulani kwenye chakula chako au kinywaji, tumia “[kitenzi cha umbo la NAI] + de kudasai.” Umbo la NAI ni aina ya unyambulishaji unaoishia na “nai” na ni usemi wa kukanusha. Umbo la NAI la “ireru” yaani “kuweka” ni “irenai.” (Tazama ukurasa 150-151)

    Tumia!

    オレンジジュース1ひと

    つ。氷こおり

    は入い

    れないでください。Orenji-ju⎤usu hito⎤tsu. Koori wa irena⎤ide kudasa⎤i.

    かしこまりました。Kashikomarima⎤shita.

    Juisi moja ya chungwa. Tafadhali usiweke barafu.Sawa.

    Jaribu!

    【kitu usichopenda】は~ないでください。[kitu usichopenda] wa ~naide kudasa⎤i.

    Tafadhali usi- [kitu usichopenda].

    ① ドレッシングdore⎤sshingu

    sosi

    ② 唐と う

    辛が ら

    子し

    tooga⎤rashi pilipili

    かける(→かけない)kake⎤ru (→kake⎤nai)

    mimine

    使つ か

    う(→使つ か

    わない)tsukau (→tsukawanai)

    tumie

    Usemi wa ziadaおすすめは何

    な ん

    ですか。Osusume wa na⎤n de⎤su ka.Nini pendekezo lako?

    Usemi huo hutumika ili kuuliza katika migahawa nini pendekezo lake. “Osusume” inamaanisha “pendekezo.”

    Can-do! Kumwomba mtu asiweke kitu fulani kwenye chakula chako

  • ©NHK WORLD-JAPAN 65https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/

    Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!

    Hokkaido imezungukwa na bahari ya Japani, Bahari ya Okhotsk, na Bahari ya Pasifiki, na kufanya sekta yake ya uvuvi kubarikiwa na vyakula vya baharini kama vile kaa, ngisi, samaki samoni, mayai ya samoni na kadhalika. Kula chakula cha baharini kilichovuliwa punde katika maeneo kama masoko ya asubuhi ni moja ya sehemu za kufurahisha za safari za Hokkaido.

    Utamu wa vyakula vya baharini vya Hokkaido unajulikana vilivyo nje ya nchi. Kombe hasa ni maarufu na wanasafirishwa nje ya nchi kwa kiasi kikubwa.

    Majibu ① ドレッシングはかけないでください。 Dore⎤sshingu wa kake⎤naide kudasa⎤i.② 唐

    とう

    辛がら

    子し

    は使つか

    わないでください。 Tooga⎤rashi wa tsukawana⎤ide kudasa⎤i.

    ©Toyako Town

    Soko la asubuhi la Hakodate

    ©HITCA

    Vyakula mbalimbali vya baharini

    Furahia chakula cha baharini kutoka Hokkaido!


Recommended